Loading...
company_logo

MATOKEO YA INTERVIEW ORCI NA TBC (17-08-2023)

Aug. 17, 2023

TANGAZO

MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA ORCI NA TBC ULIOFANYIKA TAREHE 17-08-2023

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

Click Links below