Loading...
company_logo

NAFASI (1960) ZA KAZI ZA MUDA UCHAGUZI MBARALI

mbarali tangazo

Job description

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA


Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali kwa kuzingatia kanuni ya 14 na 15 za Kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za mwaka 2020, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Vituo vya Kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Ubunge utakaofanyika tarehe 19 Septemba, 2023 kama ifuatavyo:-


Msimamizi wa Kituo cha Kupigia Kura (Nafasi. 490).


Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura (Nafasi 980).


Karani Mwongozaji Wapiga Kura (Nafasi 490).


SIFA ZA WAOMBAJI WA NAFASI YA MSIMAMIZI AU MSIMAMIZI MSAIDIZI WA KITUO CHA KUPIGIA KURA


(a) awe raia wa Tanzania mwenye umri wa miaka 18 au zaidi;
(b) asiwe shabiki au kiongozi wa chama cha siasa;
(c) awe mwadilifu, mtiifu na mwenye akili timamu;
(d) awe amemaliza elimu ya kidato cha nne (4) au zaidi na anaweza kusoma na kuandika vizuri. Pia, anayeweza kusoma na kuelewa kitabu cha Maelekezo ya Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura; 

 

Download Attached PDF

Job Summary

Published On: Aug. 25, 2023, 4:28 p.m.

Vacancy: 1960

Job Nature: tangazo

Location: mbarali

Dead Line: Aug. 28, 2023

Company Detail

Mbarali District is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Iringa region and east by Njombe region. To the south the district is bordered by Mbeya Rural District and to the west by Chunya District. In 2016 the Tanzania National Bureau of Statistics report there were 331,206 people in the district, from 300,517 in 2012.[2]: 97 [4]: 118  Mbarali district is the most famous area for rice farming. The district is home to Kapunga rice project and Mbarali estate. The district hosts a very famous wetland called Ihefu, as well as the Usangu plain. Ruaha National Park is within the district to the north side.