Loading...
company_logo

NAFASI (42) ZA KAZI ZA MUDA UCHAGUZI MISUNGWI

misungwi contract

Job description

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA

Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Misungwi kwa kuzingatia kanuni ya 12 na 13 za Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) za mwaka 2020, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za watendaji wa vituo vya kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi mdogo utakaofanyika tarehe 19 Septemba, 2023 katika Kata ya Mwaniko kama ifuatavyo:-

- Msimamizi wa Kituo cha Kupigia Kura (Nafasi 13).


- Msimamizi Msaidizi wa Kituo cha Kupigia Kura (Nafasi 26).


- Karani Mwongozaji Wapiga Kura (Nafasi 13).

 

Download Attached PDF

Job Summary

Published On: Aug. 25, 2023, 3:32 p.m.

Vacancy: 42

Job Nature: contract

Location: misungwi

Dead Line: Aug. 28, 2023

Company Detail

Misungwi District is one of the seven districts of the Mwanza Region of Tanzania. It is bordered to the north by Nyamagana District and Magu District, to the east by Kwimba District, to the south by Shinyanga Rural District and to the west by Nyang'hwale District and Lake Victoria. Misungwi is often spelled with an extra 's' to make it Missungwi. The administrative centre is in the town of Misungwi. As of 2012, the population of the Misungwi District was 351,607, of which 30,728 are living in an urban area (Misungwi town).[1]