Loading...
company_logo

MATOKEO YA INTERVIEW YA MCHUJO KADA ZA 'EASTC' ULIOFANYIKA TAREHE 21-08-2023

Aug. 21, 2023

TANGAZO

Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao